Vidakuzi ni vipande vidogo vya maandishi vinavyotumiwa kuhifadhi maelezo kwenye vivinjari vya wavuti. Vidakuzi vinatumiwa kuhifadhi na kupokea vitambulisho na maelezo mengine kwenye kompyuta, simu, na vifaa vingine. Teknolojia nyingine, pamoja na data tunayohifadhi kwenye kivinjari chako cha wavuti au kifaa chako, vitambulisho vinavyohusiana na kifaa chako, na programu nyingine, hutumiwa kwa malengo sawa. Katika sera hii, tunarejelea teknolojia hizi zote kama “vidakuzi”.